Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 125 2020

Skip to main content
All Devices

Nokia 125 (2020)

Sanidi na uwashe simu yako

SIM ndogo

SIM ndogo
Muhimu: Kifaa hiki kimeundwa ili kutumiwa na SIM kadi ndogo pekee tu. Matumizi ya kadi zisizotangamana za SIM zinaweza kuharibu kadi au kifaa, na zinaweza kuharibu data iliyohifadhiwa kwenye kadi.
Kumbuka: Zima kifaa na usiiunganishe na chaja au kifaa kingine chochote kabla ya kubandua vifuniko vyovyote. Epuka kugusa visehemu vya elektroniki wakati wa kubadilisha vifuniko vyovyote. Daima hifadhi na kutumia kifaa kikiwa na vifuniko vyake vimewekwa.

Ingiza SIM kadi

Ingiza SIM kadi
  1. Weka kucha yako ya kidole katika nafasi ndogo chini ya simu, inua na uondoe kifuniko.
  2. Ikiwa betri iko ndani ya simu, itoe.
  3. Telezesha SIM kadi kwenye nafasi ya SIM kadi.

Ingiza SIM ya pili

Ingiza SIM ya pili
  1. Ikiwa una SIM ya pili, itelezeshe ndani ya nafasi ya SIM2. SIM kadi zote zinapatikana kwa wakati mmoja wakati kifaa hakitumiki, lakini ijapokuwa SIM kadi moja inatumika, kwa mfano, kwa kupiga simu, ile nyingine haipatikani.
  2. Rudisha betri.
  3. Rudisha kifuniko cha nyuma.

Washa simu yako

Bonyeza na ushikilie .
Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • Vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Vitufe
  • Andika matini

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you