Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 6300 4G

Skip to main content
All Devices

Nokia 6300 4G

Sikiliza redio

Tafuta idhaa za redio

Unahitaji kuunganisha kwenye kifaa cha sauti kinachotangamana ili kusikiliza redio. Vifaa vya sauti hufanya kazi kama antena. Kidokezo cha uchunguzi: Kama redio haifanyi kazi, hakikisha kwamba kifaa cha sauti kimeunganishwa vizuri.

Bonyeza kitufe cha kutembeza na uchague Redio ya FM > WASHA.

Ili kutafuta vituo vinavyopatikana vya redio, chagua Vituo > Chaguo > Tambaza vituo.

Ili kuhifadhi kituo cha redio, chagua Vituo > Chaguo > Ongeza kwenye vipendwa.

Ili kubadilisha kwa kituo kilichohifadhiwa, chagua Vituo > Vipendwa na kituo.

Ili kurekebisha sauti, chagua Chaguo > Sauti na utembeze juu au chini.

Ili kuzima redio, chagua ZIMA.

Kidokezo: Ili kusikiliza idhaa ya redio kwa kutumia spika za simu, chagua Chaguo > Badilisha kwa spika. Hakikisha kifaa cha kichwa kimeunganishwa.
Did you find this helpful?
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
Muziki na video
  • Kicheza muziki
  • Sikiliza redio
  • Kicheza video
  • Kinasa sauti

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you