Nokia G22 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia G22

Ongezea kumbukumbu ya simu yako na RAM pepe

Washa mwendelezo wa kumbukumbu

Ikiwa simu yako inakubali kipengele cha RAM pekee, unaweza kufungua programu zaidi kichini chini na ubadilishe kwa urahisi kati ya programu hizo. Ili kuwasha kipengele, gusa Mipangilio > Kumbukumbu, na uwashe Mwendelezo wa kumbukumbu. Ukiulizwa, gusa ukubwa wa kumbukumbu unayotaka.

Kutumia mwendelezo wa kumbukumbu (RAM peke) kunahitaji nafasi ya kutosha ya hifadhi. Ili kulinda hifadhi, mwendelezo wa kumbukumbu hulemazwa kiotomatiki na kabisa mara tu asilimia 90 ya kikomo cha matumizi kinapofikiwa. Hii inaweza kufanyika baada ya miaka 4 ya matumizi mengi.

Safisha kumbukumbu

Ili kusafisha kumbukumbu ya simu yako na kuondoa programu zisizohitajika zinazoendeshwa kichini chini, gusa Mipangilio > Kumbukumbu > Futa zote. Ikiwak kuna programu ambazo unazitaka ziwe zinaendeshwa kichini chini kila wakati, zitenge kwenye usafishaji: gusa Mipangilio > Kumbukumbu > Programu zilizotengwa, na uwashe programu unazotaka ziendelee kufunguliwa.

Did you find this helpful?
  • Sasisha simu yako
  • Keys and parts
  • Insert the SIM and memory cards
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
Misingi
  • Binafsisha simu yako
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Usahihishaji matini kiotomatiki
  • Maisha ya betri
  • Ongezea kumbukumbu ya simu yako na RAM pepe
  • Ufikiaji

Useful Links

PDFSoftware UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you