Nokia 3310 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia 3310

Chaji simu yako

Betri yako imechajiwa nusu kiwandani, lakini utahitajika kuichaji upya kabla uweze kutumia simu yako.

Chaji betri

  1. Chomeka chaja kwenye soketi ya ukuta.
  2. Unganisha chaja kwenye simu. Ukimaliza, chomoa chaja kwenye simu, kisha kwenye soketi ya ukuta.

Kama betri imeisha moto kabisa, huenda ikachukua dakika kadhaa kabla ya kiashiria chaji kuonyeshwa.

Kidokezo: Unaweza kuchaji kwa kutumia USB wakati umeme wa ukutani haupatikani. Data inaweza kuhamishwa ukichaji kifaa. Ubora wa nishati ya kuchaji kwa USB hutofautiana, na huenda ikachukua muda mrefu kuchaji kuanza na kifaa kuanza kufanya kazi. Hakikisha kompyuta yako imewashwa.

Okoa nishati

Kuokoa nishati:

  1. Chaji kwa makini: daima chaji betri kabisa.
  2. Chagua tu sauti ambazo unazihitaji: nyamazisha sauti zisizohitajika, kama vile sauti za kibeba vitufe.
  3. Tumia vifaa vya sauti vyenye waya, badala ya kipasa sauti.
  4. Badilisha mipangilio ya skrini ya simu: weka skrini ya simu ili kuzima baada ya muda mfupi.
  5. Punguza mwangaza wa skrini.
  6. Ikiwa inatumika, tumia miunganisho ya mtandao, kama vile Bluetooth, kwa kuchagua: washa miunganisho wakati unazitumia pekee.
Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • Keys and parts
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Lock or unlock the keys

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you