Nokia 3310 user guide

Skip to main content
All Devices

Nokia 3310

Shiriki maudhui

Shiriki vitu vyako, kama vile majina, picha, na video, kwa urahisi na marafiki na familia.

Shiriki maudhui yako kwa kutumia Shiriki kwa urahisi

Sogeza simu yako karibu na simu nyingine na maudhui yako yatahamishwa kwa kutumia Bluetooth.

  1. Washa Bluetooth katika simu inayopokea, na uhakikishe simu inaonekana kwenye simu nyingine.
  2. Kwa mfano, chagua picha. Bonyeza kitufe cha chaguo, na uchague Shiriki picha > Sh. urahisi k. Bluetooth.
  3. Sogeza simu yako karibu na simu nyingine.

Dokezo: Tafuta kwa urahisi hutafuta simu iliyo karibu, na hutuma kipengee kwake.

Matumizi ya kifaa chako kikiwa kwenye modi ya kutoonekana ni njia salama zaidi ya kukwepa programu mbaya. Usikubali maombi ya muunganisho ya Bluetooth kutoka vyanzo usivyoviamini. Unaweza pia kuzima utendaji wa Bluetooth wakati hauitumii.

Did you find this helpful?
  • Keys and parts
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Lock or unlock the keys
Nakili na uondoe maudhui
  • Nakili maudhui
  • Shiriki maudhui
  • Remove private content from your phone

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you