Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 5710 XpressAudio

Skip to main content
All Devices

Nokia 5710 XpressAudio

Chaji simu yako

Chaji betri na vifaa vya masikioni

Chaji betri na vifaa vya masikioni
  1. Chomeka chaja kwenye soketi ya ukuta.
  2. Ili kuchaji vifaa vya masikioni kwa kutumia simu yako, telezesha chini kifuniko cha chumba cha vifaa vya masikioni, kisha uweke vipokea sauti kwenye matundu. Telezesha juu kifuniko.
  3. Unganisha chaja kwenye simu. Ikiwa betri imeisha chaji kabisa, inaweza kuchukua dakika kadhaa kabla ya kiashiria cha chaji kuonyeshwa kwenye skrini ya simu. Wakati vifaa vya masikioni vinachaji, taa nyekundu ya kiashiria kwenye vifaa vya masikioni imewashwa na huzima mara baada ya chaji kujaa.
  4. Ukimaliza, chomoa chaja kutoka kwenye simu kisha kutoka kwenye soketi ya ukuta.
Kidokezo: Unaweza kuchaji kwa kutumia USB wakati umeme wa ukutani haupatikani. Ubora wa nishati ya kuchaji kwa USB hutofautiana, na huenda ikachukua muda mrefu kuchaji kuanza na kifaa kuanza kufanya kazi.
Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • Vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Vitufe
  • Tumia vifaa vya masikioni

Useful Links

PDFSoftware UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you