Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia 5710 XpressAudio

Skip to main content
All Devices

Nokia 5710 XpressAudio

Sanidi na uwashe simu yako

Nano-SIM

Nano-SIM
Muhimu: Kifaa hiki kimeundwa ili kutumiwa na SIM kadi ndogo pekee tu. Matumizi ya kadi zisizotangamana za SIM zinaweza kuharibu kadi au kifaa, na zinaweza kuharibu data iliyohifadhiwa kwenye kadi.
Kumbuka: Zima kifaa na usiiunganishe na chaja au kifaa kingine chochote kabla ya kubandua vifuniko vyovyote. Epuka kugusa visehemu vya elektroniki wakati wa kubadilisha vifuniko vyovyote. Daima hifadhi na kutumia kifaa kikiwa na vifuniko vyake vimewekwa.

Fungua kifuniko cha nyuma

Fungua kifuniko cha nyuma
  1. Weka kucha yako ya kidole katika nafasi ndogo chini ya simu, inua na uondoe kifuniko.
  2. Ikiwa betri iko ndani ya simu, itoe.

Ingiza SIM kadi

Ingiza SIM kadi
  1. Telezesha kishikilia SIM kadi kuwadia juu ya simu na uifungue.
  2. Weka SIM kadi kwenye tundu.
  3. Funga kishikiliaji, na ukitelezeshe kuelekea chini ya simu ili ukifunge mahali pake.

Ingiza SIM ya pili

Ingiza SIM ya pili
  1. Ikiwa una simu ya dual-SIM, telezesha kishikilia SIM kadi cha nafasi ya SIM2 upande wa kulia na uifungue.
  2. Weka SIM kadi yako kwenye tundu.
  3. Funga kishikiliaji, na ukitelezeshe upande wa kushoto ili ukifunge mahali pake.

Kadi za SIM zinapatikana wakati mmoja kifaa kinapokuwa hakitumiki, lakini wakati kadi ya SIM inatumika, kwa mfano, kupiga simu, nyingine inaweza kutokuwepo

Dokezo: Ili kujua kama simu yako inaweza kutumia SIM kadi 2, angalia lebo kwenye furushi la mauzo. Ikiwa kuna misimbo 2 ya IMEI kwenye lebo, una simu ya SIM mbili.

Ingiza kadi ya kumbukumbu

Ingiza kadi ya kumbukumbu
  1. Telezesha kishikio cha SIM kadi upande wa kushoto na ukifungue.
  2. Telezesha kadi ya kumbukumbu kwenye nafasi ya kadi ya kumbukumbu.
  3. Funga kishikiliaji na ukitelezeshe upande wa kulia ili kukifunga mahali pake.
  4. Rudisha betri.
Kidokezo: Tumia kadi ya kumbukumbu ya microSD yenye kasi, na ya hadi GB 32 kutoka kwa mtengenezaji anayefahamika.

Funga kifuniko cha nyuma

Funga kifuniko cha nyuma
  1. Telezesha chini kifuniko cha chumba cha vifaa vya masikioni.
  2. Telezesha sehemu ya juu ya kifuniko cha nyuma mahali pake.
  3. Bonyeza chini kifuniko cha nyuma.
  4. Telezesha juu kifuniko cha chumba cha vifaa vya masikioni.

Washa simu kisha uunganishe vifaa vya masikioni

  1. Ili kuwasha simu yako, bonyeza kitufe cha moto kisha ukishikilie.
  2. Ili kuwasha vipokea sauti vya masikioni, viondoe kwenye chumba chake.
  3. Kwenye simu yako, chagua Menyu > Vipokea sauti vya masikioni > TWS connect, washa TWS connect na uchague Vifaa vilivyopatikana > Vipokea Sauti vya Masikio vya Nokia XpressAudio.
Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • Vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Vitufe
  • Tumia vifaa vya masikioni

Useful Links

PDFSoftware UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you