Mwongozo wa mtumiaji wa Nokia C1 2nd Edition

Skip to main content
All Devices

Nokia C1 2nd Edition

Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu

Ingiza kadi

Ingiza kadi
  1. Weka kucha ya kidole chako katika nafasi kufungua ya kifuniko cha nyuma, kunja ili kufungua kifuniko cha nyuma, na ukiondoe.
  2. Telezesha nano-SIM kwenye kipenyo cha 1 na eneo la mguso likiangalia chini.
  3. Ikiwa una SIM kadi ya pili, itelezeshe ndani ya nafasi ya SIM2.
  4. Ikiwa una kadi ya kumbukumbu, itelezeshe kwenye kipenyo cha kadi ya kumbukumbu.
  5. Rudisha kifuniko cha nyuma.

Tumia kadi halisi ya nano-SIM tu. Matumizi ya SIM kadi zisizotangamana huenda yakaharibu kadi au kifaa, na huenda yakaharibu data iliyohifadhiwa kwenye kadi.

Tumia tu kadi za kumbukumbu zinazotangamana zilizoidhinishwa kutumiwa na kifaa hiki. Kadi zisizotangamana zinaweza kuharibu kadi na kifaa na kuharibu data iliyohifadhiwa kwenye kadi.

Kumbuka: Zima kifaa na utenganishe chaja na kifaa kingine chochote kabla ya kuondoa vifuniko vyovyote. Epuka kugusu vijenzi vya elektroniki unapokuwa ukichaji vifuniko vyovyote. Daima hifadhi na utumie kifaa na vifuniko vyovyote vilivyoambatishwa.

Muhimu: Usiondoe kadi ya kumbukumbu wakati programu inaitumia. Kufanya hivyo kunaweza kuharibu kadi ya kumbukumbu na kuharibu data iliyohifadhiwa kwenye kadi.

Kidokezo: Tumia kadi ya kumbukumbu ya microSD yenye kasi, na ya hadi GB 128 kutoka kwa mtengenezaji anayefahamika.
Did you find this helpful?
Anza kutumia
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Mipangilio ya SIM Mbili
  • Funga au fungua simu yako
  • Tumia skrini ya mguso

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you