Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 105 (2017)

Skip to main content
All Devices

Nokia 105 (2017)

Tuma na upokee ujumbe

Andika na utume ujumbe

  1. Chagua Menyu > > Unda ujumbe.
  2. Andika ujumbe kwenye sehemu ya ujumbe.
  3. Chagua Chaguo > Tuma, ili uongeze mpokeaji. Unaweza kuingiza nambari ya simu au ongeza mpokeaji kwa kuchagua Tafuta ili ufungue Majina.
  4. Chagua Tuma.

Chaguo za kuandika

Unaweza kupata chaguo tofauti za kuandika ujumbe, katika Chaguo ukiwa katika sehemu ya ujumbe. Kwa mfano, unaweza kuingiza alama, na uhifadhi au upuuze ujumbe.

Unaweza pia kuwasha maandishi ya ubashiri (kamusi) kutoka kwa Chaguo.

Chaguzi za ujumbe

Wakati umepokea ujumbe kwenye simu yako, fungua ujumbe na uteue Chaguzi. Telezesha kwa Tumia nambari, na uteue Chaguzi > Piga simu ili kupigia simu mtumaji. Unaweza kufuta mazungumzo, na kuongeza mtumaji kwenye orodha iliyoonyeshwa.

Did you find this helpful?
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Funga au fungua vitufe
Simu, majina, na ujumbe
  • Simu
  • Majina
  • Tuma na upokee ujumbe

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you