Chunguza vitufe na sehemu za simu yako mpya.
Vitufe na sehemu za simu yako mpya ni.
Ili kufunga vitufe, chagua
Ili ufungue vitufe, kwa haraka bonyeza , na uchague
Ili kuwasha tochi kwa haraka, katika skrini bweta, bonyeza kitufe cha kutembeza juu mara mbili. Ili kuzima taa, bonyeza juu kitufe cha kutembeza mara nyingine. Usimulike taa katika macho ya mtu yeyote.
Jiepushe kugusa eneo la antena bila sababu wakati antena inatumika. Ugusaji antena huathiri ubora wa mawasiliano na unaweza kupunguza maisha ya betri kwa sababu ya kiwango cha juu zaidi cha nishati wakati wa utendaji kazi.
Usiunganishe kwenye bidhaa ambazo zinaunda ishara ya kutoa, kwa kuwa hii inaweza kuharibu kifaa. Usiunganishe chanzo chochote cha stima kwenye kiunganisha cha sauti. Ukiunganisha kifaa chochote cha nje au kifaa chochote cha kichwa kando na zile zilizoidhinishwa kutumiwa na kifaa hiki, Kiunganishi cha sauti, kuwa makini sana na viwango vya sauti. Sehemu nyingine za kifaa hiki zina sumaku. Vitu vya chuma vinaweza kuvutwa na kifaa. Usiweke kadi za karadha au vitu vingine vyenye kutumia hifadhi ya sumaku karibu na kifaa hiki, kwa sababu maelezo yaliyohifadhiwa kwenye vitu hivyo yanaweza kufutika.
Baadhi ya vifaa vya ziada vilivyotajwa katika kiongozi hiki, kama vile chaja, kifaa cha kichwani, au kebo ya data, huenda vikauzwa kando.
Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.
Start chatPrefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.
Find a care center near you