Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 105 (2017)

Skip to main content
All Devices

Nokia 105 (2017)

Wasifu

Simu yako ina wasifu tofauti kwa hali tofauti. Unaweza kuhariri wasifu kama upendavyo.

Binafsisha wasifu

Kuna wasifu kadhaa ambazo unaweza kutumia katika hali tofauti. Kwa mfano, kuna wasifu wa kimya wakati huwezi kuwasha sauti, na wasifu wa nje wenye toni zenye sauti kubwa.

Unaweza kubinafsisha wasifu zaidi.

  1. Chagua Menyu > > Mifumo.
  2. Chagua wasifu na Binafsisha.

Kwa kila wasifu unaweza kuweka mlio maalum wa simu, sauti ya mlio wa simu, sauti ya ujumbe na kuendelea.

Kidokezo: Unaweza kuongeza wasifu tofauti kwa Nenda kwenye menyu kwa ufikivu wa haraka.
Did you find this helpful?
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Funga au fungua vitufe
Binafsisha simu yako
  • Badilisha mlio wako wa simu au toni ya ujumbe
  • Badilisha mwonekano wa skrini yako ya mwanzo
  • Wasifu
  • Mipangilio ya Nenda kwa

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you