Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 3310 3G

Skip to main content
All Devices

Nokia 3310 3G

Mipangilio ya uunganikaji

Mipangilio ya uunganikaji

Chagua Menyu > > Uunganikaji.

Kwa mfano, katika mipangilio ya uunganikaji, unaweza kuhariri:

  • Mipangilio ya Bluetooth, ikiwa ni pamoja na jina la simu na uonekanaji
  • Mipangilio ya SIM Mbili, ikiwa ni pamoja na SIM inayopendelewa au simu na ujumbe
  • Mipangilio ya Eneo la ufikiaji, ambayo hubadilisha njia unayounganisha kwenye intaneti
  • Mipangilio ya Aina ya mtandao, ambayo hubadilisha mtandao unaopendelewa

Hali ya angani

Wakati unapaa au katika maeneo mengine ambapo matumizi ya simu yamekatazwa, tumia hali ya angani.

Ili kuwasha hali ya angani, chagua Menyu > > Uunganikaji na uwashe Hali ya angani.

Hali ya angani hufunga miunganisho ya mtandao wa simu na huzima vipengele visivyotumia waya vya kifaa chako. Fuata maagizo na mahitaji ya usalama yanayotolewa na, kwa mfano, kampuni ya ndege, na sheria na masharti yoyote husika.

Zuia matumizi ya data ya rununu na matumizi ya data nje ya mtandao

Ikiwa unataka kuepuka gharama za ziada, unaweza kubadilisha mipangilio ya matumizi ya data ya nje ya mtandao.

Chagua Menyu > > Uunganikaji na uzime Matumizi ya data nje ya mtandao.
Did you find this helpful?
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Funga au fungua vitufe
Mipangilio
  • Mipangilio ya mfumo
  • Mipangilio ya uunganikaji
  • Mipangilio ya ubinafsishaji
  • Mipangilio ya saa na lugha
  • mipangilio ya usalama

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you