Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 3310 3G

Skip to main content
All Devices

Nokia 3310 3G

Kicheza muziki

Unaweza kusikiliza faili zako za muziki wa MP3 kwa kutumia kicheza muziki.

Sikiliza muziki

  1. Chagua Menyu > .
  2. Chagua kama unataka kutazama nyimbo, wasanii, albamu au orodha zako za traki.
  3. Tembeza kwa wimbo, na uchague Cheza.
Dokezo: Ili kusikiliza muziki kwa kutumia vifaa vya kichwa pasiwaya, oanisha simu yako kwa kutumia kifaa cha kichwa cha Bluetooth kinachotangamana (kinachouzwa kando) Ili kuwasha Bluetooth, chagua Menyu > > Uunganikaji > Bluetooth, na uweke Bluetooth kwa Washa.
Kidokezo: Ili kuweka wimbo kama toni ya mlio, chagua Nyimbo, tembeza kwa wimbo unaotaka, na uchague > Weka kama toni ya mlio.

Unda orodha ya kucheza

  1. Chagua Menyu > > Nyimbo.
  2. Tembeza wimbo, na uchague > Ongeza kwenye orodha ya traki.
  3. Tembeza juu na uchague
    • Orodha mpya ya traki
    .
  4. Ipe orodha ya traki jina na uchague Sawa.
  5. Chagua orodha ya traki ambayo umeunda. Wimbo huongezwa kwenye orodha hiyo ya traki.
Did you find this helpful?
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Funga au fungua vitufe
Muziki, sauti na video
  • Kicheza muziki
  • Kinasa sauti
  • Kicheza video

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you