Mwongozo wa watumiaji wa Nokia 3310 3G

Skip to main content
All Devices

Nokia 3310 3G

Pata mengi kutoka kwa SIM kadi mbili (simu za SIM Mbili)

Simu yako inaweza kutumia SIM kadi mbili, na unaweza kuzitumia kwa malengo tofauti.

Chagua ni SIM kadi gani itatumika

  1. Chagua Menyu > > Uunganikaji > SIM Mbili.
  2. Ili kuchagua ni SIM gani ya kutumia kupiga simu, chagua SIM inayopendelewa ya kupiga simu, na uchague SIM1 au SIM2.
  3. Ili kuchagua ni SIM gani ya kutumia kutuma ujumbe, chagua SIM inayopendelewa ya ujumbe, na uchague SIM1 au SIM2.
  4. Ili kuchagua ni SIM gani ya kutumia kwa data ya rununu, chagua Mu. wa dat. rununu, washa Data ya rununu, na uchague aidha SIM1 au SIM2.

Sambaza simu kati ya SIM zako 2

Pata mengi kutoka kwa SIM kadi zako 2. Ukisambaza simu zako kati ya SIM zako, wakati mtu anapokupigia simu kwenye SIM yako moja wakati una simu kwenye laini nyingine, unaweza kudhibiti simu zako kutoka kwa SIM zote kama vile ungefanya na SIM moja pekee.

Hakikisha umeingiza SIM kadi 2 kwenye simu yako.

  1. Chagua Menyu > > Uunganikaji > SIM Mbili > Nambari za SIM.
  2. Charaza nambari za SIM zako zote na uchague Hifadhi.
  3. Tembeza juu hadi Sambaza simu, na uchague Kati ya SIM mbili, Kutoka SIM1 hadi SIM2, au Kutoka SIM2 hadi SIM1.
Did you find this helpful?
  • vitufe na sehemu
  • Sanidi na uwashe simu yako
  • Chaji simu yako
  • Funga au fungua vitufe
Misingi
  • Pata mengi kutoka kwa SIM kadi mbili (simu za SIM Mbili)
  • Chunguza simu yako
  • Badilisha sauti
  • Andika matini

Useful Links

PDFSoftware Updates

Countries and Languages

As we offer product user guides in many languages across different regions, you may be redirected to a Nokia phones web page outside of your selected location.

Countries and Languages

Choose Language

Contact the support team

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Start chat

Chat with us

Before starting chat with our customer support, please leave your contact details. Contact our chat support for online purchases support, product information, warranty support.

Fields marked with an asterisk are mandatory.

Your personal data will be processed according to HMD Global’s Privacy Policy and the HMD Support Supplement.

Email us

Tell us about your problem and we'll get back to you via email.

Contact us

Care centers

Prefer to bring your device in for our experts to have a look at? Find the location of your nearest Nokia & HMD phones, tablets and accessories care center.

Find a care center near you