Mwongozo wa mtumiaji wa HMD SKYLINE

Skip to main content
All Devices
Download

HMD SKYLINE

Download

Maisha ya betri

Ongeza maisha ya betri

Kuokoa nishati:

  1. Daima chaji betri kabisa.
  2. Nyamazisha sauti zisizohitajika, kama vile sauti za mguso. Gusa Mipangilio > Sauti na mtetemo, na uchague ni sauti gani za kuweka.
  3. Tumia vifaa vya sauti vyenye waya, badala ya kipasa sauti.
  4. Weka skrini ya simu ili kuzima baada ya muda mfupi. Gusa Mipangilio > Skrini > Muda wa kuisha wa skrini na uchague muda.
  5. Gusa Mipangilio > Skrini > Hali ya mwangaza. Ili kurekebisha mwangaza, kokota kitelezi cha hali ya mwangaza. Hakikisha kwamba Mwangaza uliorekebishwa umezimwa.
  6. Komesha programu kufanya kazi kichinichini.
  7. Tumia huduma za eneo kwa kuchagua: zima huduma za eneo wakati hauzihitaji. Gusa Mipangilio > Eneo, na uzime Tumia Eneo.
  8. Tumia miunganisho ya mtandao kwa kuchagua: Washa Bluetooth wakati inahitajika tu. Tumia muunganisho wa Wi-Fi ili uunganishe kwenye intaneti, badala ya muunganisho wa data ya simu. Komesha simu yako kutafuta mitandao inayopatikana ya pasi waya. Gusa Mipangilio > Mtandao na intaneti > Intaneti, na uzime Wi-Fi. Kama unasikiliza muziki au unatumia simu yako, lakini hutaki kupiga au kupokea simu, washa hali ya ndege. Gusa Mipangilio > Mtandao na intaneti >, na uwashe Hali ya ndege. Hali ya ndege hufunga miunganisho kwenye mitandao ya simu za mkononi na huzima vipengele pasiwaya vya kifaa chako.
Did you find this helpful?

Useful Links

Software UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
  • Tumia eSIM yako
Misingi
  • Binafsisha simu yako
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Usahihishaji matini kiotomatiki
  • Maisha ya betri
  • Ongezea kumbukumbu ya simu yako na RAM pepe
  • Ufikiaji

Set Location And Language