Kutumia baadhi ya vipengele na huduma, au kupakia maudhui, pamoja na vipengee visivyolipishwa, uhitaji muunganisho wa mtandao. Hii huenda ikasababisha uhamishaji wa viwango vikubwa vya data, ambayo inaweza kusababisha gharama ya data. Huenda pia ukahitajika kujisajili kwa baadhi ya vipengele.
Muhimu: Huenda 5G/LTE isikubaliwe na mtoa huduma wa mtandao wako au na mtoa huduma unayemtumia wakati unasafiri. Kwa maelezo zaidi, muulize mtoa huduma wako wa mtandao. Ikiwa 5G haikubaliwi na mtoa huduma wa mtandao wako, inapendekezwa kwamba ubadilishe kasi ya juu zaidi ya muunganisho kutoka 5G hadi 4G. Ili kufanya hivi, kwenye skrini ya mwanzo, gusa
Kwa maelezo zaidi, wasiliana na mtoa huduma wako wa mtandao.