Mwongozo wa mtumiaji wa HMD Skyline

Skip to main content
We need a better phone for our mental health. Learn more about The Better Phone Project and join our discussion "Attention and finding balance"
All Devices
Download

HMD Skyline

Download

Magari

Huenda mawimbi ya redio yakaathiri vibaya mifumo ya elektroniki iliyowekwa vibaya au isiyokingwa vizuri katika magari. Kwa maelezo zaidi, wasiliana na mtengeneza gari lako au vifaa vyake. Watu walioidhinishwa tu ndio wanapaswa kuweka kifaa ndani ya gari. Usakinishaji wenye kasoro huenda wa hatari na ukabatilisha waranti yako. Hakikisha mara kwa mara kwamba vifaa vyote visivyotumia waya ndani ya gari vimefungwa vizuri na vinafanya kazi sawasawa. Usihifadhi au kubeba vifaa vinavyoweza kuchomeka au kulipuka katika eneo sawa kama kifaa, sehemu zake, au vifaa vya ziada. Usiweke kifaa chako au viboreshaji kwenye eneo ambalo mfuko wa hewa hutumika.

Did you find this helpful?

Useful Links

Software UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
  • Tumia eSIM yako
Maelezo ya bidhaa na usalama
  • Kwa usalama wako
  • Huduma za mtandao na gharama
  • Simu za dharura
  • Kuhudumia kifaa chako
  • Uchakataji upya
  • Alama ya pipa iliyo na mkato
  • Maelezo ya betri na chaja
  • Watoto wadogo
  • Nickel
  • Vifaa vya matibabu
  • Vifaa vya matibabu vinavyopachikwa
  • Vifaa vya kusaidia kusikia
  • Linda mtoto wako dhidi ya vitu vyenye madhara
  • Magari
  • Mazingira yanayoweza kulipuka
  • Habari ya utoaji cheti
  • Kuhusu Usimamiaji haki za Dijitali
  • Hakimiliki na ilani nyingine

Set Location And Language