Mwongozo wa mtumiaji wa HMD SKYLINE

Skip to main content
All Devices
Download

HMD SKYLINE

Download

Kalenda

Chagua aina ya kalenda

Gusa Kalenda > dehaze, na uchague aina ya kalenda unayotaka kuona.

Ikiwa umeingia kwenye akaunti, kama vile akaunti yako ya Google, kalenda yako huonyeshwa kwenye simu.

Ongeza tukio

  1. Katika Kalenda, gusa add na uchague aina ya ingizo.
  2. Charaza maelezo unayotaka, na uweke saa.
  3. Ili kufanya tukio lijirudie siku fulani, gusa Isijirudie, na uchague ni mara ngapi tukio linapaswa kujirudia.
  4. Ili kuweka ukumbusho, gusa Ongeza arifa na uweke saa.
  5. Gusa Hifadhi.
Kidokezo: Ili kuhariri tukio, gusa tukio na mode_edit, na uhariri maelezo.

Futa miadi

  1. Gusa tukio.
  2. Gusa more_vert > Futa.
Did you find this helpful?

Useful Links

Software UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
  • Tumia eSIM yako
Panga siku yako
  • Tarehe na saa
  • Saa ya kengele
  • Kalenda

Set Location And Language