Mwongozo wa mtumiaji wa HMD SKYLINE

Skip to main content
All Devices
Download

HMD SKYLINE

Download

VPN

Huenda ukahitaji muunganisho wa mtandao pepe wa binafsi (VPN) ili kufikia rasilimali za kampuni yako, kama vile intraneti au barua ya kampuni, au utumie huduma ya VPN kwa malengo ya kibinafsi.

Wasiliana na msimamizi wa IT wa kampuni yako kwa maelezo ya usanidi wa VPN yako, au kukagua tovuti ya huduma ya VPN yako kwa maelezo zaidi.

Tumia muunganisho salama wa VPN

  1. Gusa Mipangilio > Mtandao na intaneti > VPN.
  2. Ili kuongeza wasifu wa VPN, gusa add.
  3. Charaza maelezo ya wasifu kama ilivyoagizwa na msimamizi wa IT wa kampuni yako au huduma ya VPN.

Hariri wasifu wa VPN

  1. Gusa settings kando ya jina la wasifu.
  2. Badilisha maelezo kama inavyohitajika.

Futa wasifu wa VPN

  1. Gusa settings kando ya jina la wasifu.
  2. Gusa SAHAU.
Did you find this helpful?

Useful Links

Software UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
  • Tumia eSIM yako
Intaneti na miunganisho
  • Amilisha Wi-Fi
  • Vinjari wavuti
  • Bluetooth®
  • NFC
  • VPN

Set Location And Language