Mwongozo wa mtumiaji wa HMD Skyline

Skip to main content
We need a better phone for our mental health. Learn more about The Better Phone Project and join our discussion "Attention and finding balance"
All Devices
Download

HMD Skyline

Download

Usahihishaji matini kiotomatiki

Tumia mapendekezo ya neno la kibodi

Simu yako hupendekeza maneno unapokuwa ukiandika, ili kukusaidia kuandika kwa haraka na kwa usahihi zaidi. Mapendekezo ya maneno yanaweza kutopatikana katika lugha zote.

Wakati unapoanza kuandika neno, simu yako itapendekeza maneno yanayowezekana. Neno unalotaka likionyeshwa kwenye upau wa mapendekezo, chagua neno. Ili kuona mapendekezo zaidi, gusa na ushikilie pendekezo.

Kidokezo: Ikiwa neno lililopendekezwa limewekwa alama ya koza, simu huitumia kiotomatiki ili kubadilisha neno uliloandika. Ikiwa neno si sahihi, gusa na ushikilie ili kuona mapendekezo mengine machache.

Ikiwa hutaki kibodi kupendekeza maneno unapokuwa ukicharaza, zima sahihisho za matini. Gusa Mipangilio > Mfumo > Kibodi > Kibodi ya skrini. Teua kibodi unayotumia kwa kawaida. Gusa Usahihishaji matini na uzime mbinu za kusahihisha matini ambayo hutaki kutumia.

Sahihisha neno

Ukigundua ya kwamba umekosea tahajia ya neno, gusa ili kuona mapendekezo ya kusahihisha neno.

Zima kikagua tahajia

Gusa Mipangilio > Mfumo > Kibodi > Kikagua tahajia, na uzime Tumia kikagua tahajia.
Did you find this helpful?

Useful Links

Software UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
  • Tumia eSIM yako
Misingi
  • Binafsisha simu yako
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Usahihishaji matini kiotomatiki
  • Maisha ya betri
  • Ongezea kumbukumbu ya simu yako na RAM pepe
  • Ufikiaji

Set Location And Language