Mwongozo wa mtumiaji wa HMD Skyline

Skip to main content
We need a better phone for our mental health. Learn more about The Better Phone Project and join our discussion "Attention and finding balance"
All Devices
Download

HMD Skyline

Download

Tafuta maeneo na upate maelekezo

Pata mahali

Ramani za Google hukusaidia kupata maeneo na biashara mahsusi.
  1. Gusa Ramani.
  2. Andika maneno ya kutafuta, kama vile anwani ya mtaa au jina la mahali, katika upau wa utafutaji.
  3. Chagua kipengee kwenye orodha ya matokeo yanayopendekezwa unapokuwa ukiandika, au gusa searchili kutafuta.

Eneo huonyeshwa kwenye ramani. Ikiwa hakuna matokeo ya utafutaji yatakayopatikana, hakikisha tahajia ya maneno yako ya utafutaji ni sahihi.

Angalia eneo lako la sasa

Gusa Ramani > my_location.

Pata maelekezo ya mahali

  1. Gusa Ramani na uingize unakoenda katika upau wa utafutaji.
  2. Gusa Maelekezo. Ikoni iliyoangaziwa huonyesha hali ya usafiri, kwa mfano directions_car. Ili kubadilisha modi hii, chagua modi mpya chini ya upau wa utafutaji.
  3. Kama hutaki mahali pa kuanza kuwa eneo lako la sasa, gusa Eneo lako, na utafute mahali pengine pa kuanza.
  4. Gusa Anza ili kuanza urambazaji.

Njia huonyeshwa kwenye ramani, pamoja na makadirio ya muda unaochukua kufika hapo. Ili kuona maelekezo ya kina, gusa Hatua.

Did you find this helpful?

Useful Links

Software UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
  • Tumia eSIM yako
Ramani
  • Tafuta maeneo na upate maelekezo

Set Location And Language