Mwongozo wa mtumiaji wa HMD SKYLINE

Skip to main content
All Devices
Download

HMD SKYLINE

Download

Barua

Unaweza kutuma barua kwa kutumai simu yako ukiwa mahali popote.

Ongeza akaunti ya barua

Wakati unatumia programu ya Gmail kwa mara ya kwanza, utaulizwa usanidi akaunti yako ya barua pepe.

  1. Gusa Gmail.
  2. Unaweza kuchagua anwani iliyounganishwa na akaunti yako ya Google au gusa Ongeza anwani ya barua pepe.
  3. Baada ya kuongeza akaunti zote, gusa NIPELEKE KWA GMAIL.

Tuma barua

  1. Gusa Gmail.
  2. Gusa create.
  3. Katika kisanduku cha Kwa, charaza anwani, au gusa more_vert > Ongeza kutoka kwenye Anwani.
  4. Charaza mada ya ujumbe na barua.
  5. Gusa send.
Did you find this helpful?

Useful Links

Software UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
  • Tumia eSIM yako
Unganika na marafiki na familia yako
  • Simu
  • Anwani
  • Tuma ujumbe
  • Barua

Set Location And Language