Alama ya pipa iliyo na mkato kwenye bidhaa, betri, maandishi, au kifurushi chako hukukumbusha kwamba bidhaa zote za elektroniki na betri lazima zipelekwe kwenye mkusanyiko tofauti wakati bidhaa inapokwisha. Kumbuka kuondoa kwanza data ya kibinafsi kutoka kwenye kifaa. Usitupe bidhaa hizi kama takataka zisizochambuliwa za manispaa: zipeleke zichakatwe. Kwa maelezo kuhusu kituo cha uchakataji upya kilicho karibu na wewe, wasiliana na mamlaka ya takataka ya eneo lako, au usome kuhusu mpango wa urejeshaji wa HMD na upatikanaji wake katika nchi yako kwenye
www.hmd.com/support/topics/recycle.