Utendajikazi wa kifaa cha kupitisha mawimbi ya redio, pamoja na simu zisizotumia waya, huenda zikaingiliana na utendaji wa vifaa vya matibabu visivyokingwa vizuri. Wasiliana na daktari au mtengenezaji wa kifaa cha matibabu ili ubainishe kama kimekingwa vizuri dhidi ya nguvu ya nje ya radio.