Mwongozo wa mtumiaji wa HMD Skyline

Skip to main content

HMD Skyline

Download

Tarehe na saa

Weka tarehe na saa

Gusa Mipangilio > Mfumo > Tarehe na saa.

Sasisha saa na tarehe kiotomatiki

Unaweza kuweka simu yako kusasisha saa, tarehe, na ukanda wa saa kiotomatiki. Usasishaji otomatiki ni huduma ya mtandao na huenda usipatikane kulingana na eneo lako au mtoa huduma wa mtandao.

  1. Gusa Mipangilio > Mfumo > Tarehe na saa.
  2. Washa Weka saa kiotomatiki.
  3. Washa Weka kiotomatiki.

Badilisha saa kuwa fomati ya saa 24

Gusa Mipangilio > Mfumo > Tarehe na Saa, na uwashe Tumia mpangilio wa saa 24.
Did you find this helpful?

Cookie settings

We use cookies and similar technologies to improve your experience and for personalization of ads. By clicking "Accept all", you agree to the use of cookies and similar technologies. You can change your settings at any time by selecting "Cookie Settings" at the bottom of the site. Learn more about our cookie policy.