Mwongozo wa mtumiaji wa HMD SKYLINE

Skip to main content
All Devices
Download

HMD SKYLINE

Download

Dhibiti sauti

Badilisha sauti

Ikiwa una tatizo la kusikia simu yako ikiita katika mazingira yenye kelele, au simu ina sauti ya juu, unaweza kubadilisha sauti kama upendavyo kwa kutumia vitufe vya sauti upande wa simu yako.

Usiunganishe kwenye bidhaa ambazo zinaunda ishara ya kutoa, kwa kuwa hii inaweza kuharibu kifaa. Usiunganishe chanzo chochote cha stima kwenye kiunganisha cha sauti. Ukiunganisha kifaa chochote cha nje au vifaa vyovyote vya sauti kando na vile vilivyoidhinishwa kutumiwa na kifaa hiki, Kiunganishi cha sauti, kuwa makini sana na viwango vya sauti.

Ongeza sauti

Unaweza kuongeza sauti ya kipasa sauti kwa kutumia hali ya kuongeza nguvu.

  1. Bonyeza kitufe cha kuongeza sauti hadi ufikie kiwango cha sauti cha asilimia 100%.
  2. Bonyeza tena kitufe cha kuongeza sauti ili uwashe hali ya kuongeza sauti. Unaweza kutumia tu hali ya kuongeza sauti na kipaza sauti.
  3. Ili kupunguza sauti, bonyeza kitufe cha kupunguza sauti.

Badilisha sauti ya midia na programu

  1. Bonyeza kitufe cha sauti ili uone mwambaa wa kiwango cha sauti.
  2. Gusa more_horiz.
  3. Kokota kitelezi kwenye miambaa ya viwango vya sauti kushoto au kulia.
  4. Gusa IMEKAMILIKA.

Weka simu kimya

  1. Bonyeza kitufe cha sauti.
  2. Gusa volume_up.
  3. Gusa vibration ili kuweka simu yako iteteme pekee, au gusa volume_off ili kuiweka kimya.
Did you find this helpful?

Useful Links

Software UpdatesFull SpecificationsEnvironmental Profile
  • Sasisha simu yako
  • Vitufe na sehemu
  • Ingiza SIM na kadi za kumbukumbu
  • Chaji simu yako
  • Washa na usanidi simu yako
  • Tumia skrini ya mguso
  • Tumia eSIM yako
Misingi
  • Binafsisha simu yako
  • Arifa
  • Dhibiti sauti
  • Usahihishaji matini kiotomatiki
  • Maisha ya betri
  • Ongezea kumbukumbu ya simu yako na RAM pepe
  • Ufikiaji

Set Location And Language