Mwongozo wa mtumiaji wa HMD Skyline

Skip to main content

HMD Skyline

Download

Misingi ya kamera

Piga picha

Piga picha nzuri na maridadi – nasa nyakati bora katika albamu ya picha yako.

  1. Gusa Kamera.
  2. Lenga unachotaka kupiga picha.
  3. Gusa panorama_fish_eye.

Weka umbali wa kutosha wakati unapotumia mweka. Usitumie mweka kwa watu au wanyama ukiwa karibu sana nao. Usifunike mweka wakati wa kupiga picha.

Jipige picha

  1. Gusa Kamera > ili ubadilishe kwa kamera ya mbele.
  2. Gusa panorama_fish_eye.

Rekodi video

  1. Gusa Kamera.
  2. Ili kubadilisha hali ya kurekodi video, gusa Video.
  3. Gusa adjust ili kuanza kurekodi.
  4. Kukomesha kurekodi, gusa .
  5. Kurudi kwenye hali ya kamera, gusa Picha.
Did you find this helpful?